Msaada ku-unlock partens ktk Simu

Msaada ku-unlock partens ktk Simu

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
22,191
Reaction score
29,749
Wakuu mdada katengeneza partens lakini kasahau msaada jinsi ya kutoa ili aendelee kuitumia.
 
Dah...chukua sabuni ya unga......changanya na maji ya baridi ( 5DegC) ndani ya glass...acha ya tulie...kisha yachuje....halafu yamwage taratibu juu ya screen yako... povu linapotoka kwa wingi ndiyo pattern yako...🙂🙂🙂
 
Zima then bonyeza knob ya kuwasha na kuongeza sauti at the same time, utakuwa ume reset kila kitu, namaanisha kila kitu
Ngoja nijaribu Mkuu,asante.nakupa Taarifa
 
Zima then bonyeza knob ya kuwasha na kuongeza sauti at the same time, utakuwa ume reset kila kitu, namaanisha kila kitu
Mkuu nimefanya inaleta maelezo mengiii,yani
Reboot
Apply update from ADB
Apply update from SD card
etc.

Ss nifanye nn kifuatacho?
 
Wakuu mdada katengeneza partens lakini kasahau msaada jinsi ya kutoa ili aendelee kuitumia.
Ukishamaliza kuwipe data utakutana na kitu cha FRP. Muulize kama kaweka back up pin? Km kaweka asiwipe data. A draw mara kadhaa itamuomba back up pin aweke hiyo.
 
Bonyeza reboot, hakikisha simu imejaa chaji, then fuata maelekezo ikiwa ni pamoja na kuweka gmail account
 
Naongezea hapo.
A connect wifi itamletea Maelezo ya kujaza email (ajaze email aliyotumia kusign kwenye google store)
Ikishindikana hapo ni kubypass frp
 
Pamoja kamandaaaa, unajua nilikuwa natumia simu so nikawa siwezi kuandika sana
 
Asanteni sn kwa msaada na maelekezo.
Lakini kilichotokea wakati nafuata hizi hatua,hakika Leo nimeponea chupuchupu kuumia sn au kupoteza uhai.Simu ililipuka yote kwa upande wa nyuma.

Bila kuitupa na kukimbia ingeniumiza.
Sijui kwanini?
 
Simu gani?
 
Bila kuitupa na kukimbia ingeniumiza.mmmh
Sijui kwanini?
Simu gani? Hiyo hivyo w4? Pole sana
 
Asanteni sn kwa msaada na maelekezo.
Lakini kilichotokea wakati nafuata hizi hatua,hakika Leo nimeponea chupuchupu kuumia sn au kupoteza uhai.Simu ililipuka yote kwa upande wa nyuma.

Bila kuitupa na kukimbia ingeniumiza.
Sijui kwanini?
duuuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom