K komredi ngosha JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 382 Reaction score 71 Dec 19, 2011 #1 Leo nimeibiwa laptop na simu yenye laini ya Tigo mpaka sasa iko hewani. Naomba mwenye ujuzi wa haya mambo tuwasiliane. Help pls !
Leo nimeibiwa laptop na simu yenye laini ya Tigo mpaka sasa iko hewani. Naomba mwenye ujuzi wa haya mambo tuwasiliane. Help pls !
Mshiiri JF-Expert Member Joined Jun 16, 2008 Posts 2,012 Reaction score 516 Dec 19, 2011 #2 Wasiliana na polisi kisha wao wanamamlaka ya kufuatilia on your behalf baada ya kupangiwa mpelelzi aliyebobea katka IT. Kama uko jijini hii ni rahisi. Asante
Wasiliana na polisi kisha wao wanamamlaka ya kufuatilia on your behalf baada ya kupangiwa mpelelzi aliyebobea katka IT. Kama uko jijini hii ni rahisi. Asante