msaada;ku-recover data katka flash

msaada;ku-recover data katka flash

Vangiporini

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
328
Reaction score
319
wakuu msaada katika ishu hii apa,ni kwamba niliweka flash ambayo ia virus katika pc yang na lengo likiwa ni kuiscan then ikaja arlet kutoka window defender inayonihitaj niiscan,then nikaiscan na nkaambiwa kua files zote zmekua moved kwenye folder linaitwa FOUND...sasa nilipofungua nikayakuta mafile yangu yote lakini yakiwa kiivi file002.CHK yaani yote mwishoni yana CHK na hayafunguki....sasa sijui nifanyaje ili niweze kuyapata mafile yangu..msaada
 
Mi nina program moja inaitwa Virus Remover Inarudisha file zako zote
 
Back
Top Bottom