Wataalamu,
Nina Laptop Toshiba Dynabook A9/CME 422 ambayo imegoma kabisa ku install XP SP 3. Nimejaribu yafuatayo:
1. Nimetafuta Bootable CD tofauti tatu lakini moja tu ndiyo inatoa ujumbe wa "Press any Key to boot from CD ..." lakini nikibonyeza haiendelei na installation.
2. Nikajaribu kutengeneza bootable flash kwa software tofauti mbili ikiwa ni wintoflash na Flashboot na kwenda kwenye BIOS na kuset boot priority kuwa FDD lakini pia haikubali.
3. Nimejaribu kwa Advanced start up (F8) na kujaribu option zote kuanzia Safe mode hadi Command prompt lakini hakuna kitu.
Kimsingi kuna dogo alijaribu kuinstall XP lakini set up haikukamilika hivyo mwanzo kabisa ikiwaka inatoa option ya kuchagua OS mbili: Microsoft Windows XP Professional na Microsoft Windows XP Professional set up. Hakuna inayoendelea kutoka hapo na inakuwa inajirudia kuboot.
Tafadhari naombeni msaada ili niinstall OS.