aspen JF-Expert Member Joined Jul 13, 2011 Posts 501 Reaction score 166 Feb 25, 2015 #1 Wakuu msaada kwenye tuta kuupload picha au kuattach kwa kutumia windows phone, week sasa nimetoka kapa.
Wakuu msaada kwenye tuta kuupload picha au kuattach kwa kutumia windows phone, week sasa nimetoka kapa.
Dj mat JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 747 Reaction score 476 Mar 1, 2015 #2 Mbona watu humu ndani inakuwa ngumu sna kutoa ushirikiano kwenye hili swala?mm mwenyewe nahitaji kufahamu,nimewahi uliza pia bila majibu!Tunaomba msaada wadau jinsi ya kuappoad kwa kutumia simu.tks
Mbona watu humu ndani inakuwa ngumu sna kutoa ushirikiano kwenye hili swala?mm mwenyewe nahitaji kufahamu,nimewahi uliza pia bila majibu!Tunaomba msaada wadau jinsi ya kuappoad kwa kutumia simu.tks