Msaada kozi yenye soko kati ya hizi

Msaada kozi yenye soko kati ya hizi

Joined
Apr 4, 2012
Posts
21
Reaction score
6
Ndugu zangu naomba kufahamu kozi hizi zifuatazo kwa ajili ya certificate in ICT, Computer science & Computer maintenance ipi ni nzuri na ipi ina soko? Tafadhalini naombeni msaada.
 
Naomba juu ya hizi course za computer ipi ni marketable kwa ngazi ya Cheti
1. ICT
2. COMPUTER SCIENCE
3. COMPUTER MAINTENANCE
 
kwa ngazi ya cheti hapo hakuna yenye soko..., we soma hiyo computer science then baadaye ujiendeleze
 
Ndugu zangu naomba kufahamu kozi hizi zifuatazo kwa ajili ya certificate in ICT, Computer science & Computer maintenance ipi ni nzuri na ipi ina soko? Tafadhalini naombeni msaada.
Soko la fani siku hizi linategemeana na "CONNECTIONS" kijana hizo habari za soko hakuna siku hizi.

Kwahiyo kama bado mwanafunzi,wewe piga shule tu kwanza.
 
Back
Top Bottom