Empower Africa
Member
- Sep 8, 2019
- 22
- 19
Degree yako ya kwanza ni ipi na unafanya kazi gani?Nina admission za Masters Degree katika Course zifuatazo
Naomba ushauri ipi nisome yenye opportunity kubwa
>>Masters of Science in Chemistry-UDSM
>>Masters of Science in Public Health-Hubert Kairuki
>>Masters of Science in Biochemistry-MUHAS
Fanya kushauri acha vijembeuliomba za nini kama hujui ipi nzuri?
Fresh graduate with a degree of educationDegree yako ya kwanza ni ipi na unafanya kazi gani?
Hata usisikitike mkuu wala usitafakari sanaInasikitisha sana kwa msomi mwenye degree kuomba kozi za Masters ambazo hana details nazo.
Ina maana wewe siku zote ulikua unasoma bila malengo katika elimu yako?
Unasoma bila plans?
Hii ni aibu.
Kama taifa inabidi tujitafakari.
😂😂😂😂Cheki yenye wachaga wengi
Achana na kemia, nenda kasome biotechnology at least.Fresh graduate with a degree of education
Why not public HealthAchana na kemia, nenda kasome biotechnology at least.
education somo gani au mosomo gani, unatupa wakati mgumu unaacha vitu vinaelea elea..Fresh graduate with a degree of education
Chemistry and Biologyeducation somo gani au mosomo gani, unatupa wakati mgumu unaacha vitu vinaelea elea..
I prefer Public HealthNina admission za Masters Degree katika Course zifuatazo
Naomba ushauri ipi nisome yenye opportunity kubwa
>>Masters of Science in Chemistry-UDSM
>>Masters of Science in Public Health-Hubert Kairuki
>>Masters of Science in Biochemistry-MUHAS
Why Sir??I prefer Public Health
It is a hot cake course and its working environment is not so much complecated compared to next two.Also you will have a chance of being employed in various sectors especially researching sectors.Why Sir??