Mkuu nikiiwasha wakati inapokea moto zinawaka taa 2 za njano moja ni ya disc na nyingine ni ya power sekunde kama 2 tuu zinakata na inawaka taa nyekundu na inawaka kwa ku-blik kama endcator na inaambatana na alarm inapiga mara tano 5 kisha inakata inapiga tena na tena na mwisho alarm inakata lakini ile taa inaendelea kwa stail ile ile na hapo feni linakuwa linaendelea kuzunguka kama kawaida MKUU NAOMBA KUWASILISHA