Naombeni msaada wa kutatua hili kwenye desktop yangu aina ya Dell

jerryempire

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
5,128
8,646
Habari wana jamvi la technojia,

Nina pc yangu aina ya dell, juzi nilikuwa natumia ghafla tu ikazima na kila nikiiwasha inawaka then inaonyesha alama hyo ya taa then inazima je shida ni nini

asanten
20200128_203500.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo huenda low voltage au low CPU battery (battery imeisha).

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Habari wana jamvi la technojia,

Nina pc yangu aina ya dell, juzi nilikuwa natumia ghafla tu ikazima na kila nikiiwasha inawaka then inaonyesha alama hyo ya taa then inazima je shida ni nini

asanten
View attachment 1338609

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana, kutokana na maelezo yako ningekushauri uangalie mfumo wa upoozaji(fan) wa hyo computer yako kwani joto jingi linalokosa pakutokea sababu ya uchafu au vumbi linaweza fanya computer yako ijizime yenyewe kama defence mechanism ili kuzuia baadh ya vifaa visiungue... Kwaa maana nyingine usafi wa fan(kama bado inafanya kazi na sehem zingne za computer).
Hilo ni moja, mbili kwenye computer yako kuna processor , kwenye sehemu ya socket ambapo proceasor yako imechomekwa kunakuwa na fluid au mafuta yanayosaidia kupooza processor yenyewe. Yanaitwa heatsink compound. Huenda mafuta hayo yamekauka na yanahitaji kubadilishwa...
Cha mwisho na cha umuhimu, katika kila computer inayokuwa na tatzo la kuwaka huwa kuna mlio wa beep code kwa mara kadhaa. Au muwako wa taa mara kadhaa. Tumia muwako huo kutafuta mtandaoni namna ya kutafuta tatizo...

kweli mkuu yale mafuta yaliishakabisa hivyo nkayafuta inamaana ndo inaweza kuwa sababu na madukani yapo kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom