msaada kompyuta ina window mbili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada kompyuta ina window mbili

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Parata, Aug 24, 2012.

 1. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  dah nina tatizo nina laptop yangu nilikosea kuingiza window zikaingia mbili xo nkitaka kutoa 1 nifanje na je kuna madhara ya kutumia zote
   
 2. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hakuna madhara mkuu.Cha kufanya nenda c: kuna folder 2 za windows. Delete usiyoitumia.Baadae nikiamka ntakuelekeza namna ya kudelete pia kwenye list ya OS unapowasha computer yako.Kwani unatumia OS gani?
   
 3. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,377
  Trophy Points: 280
  Nenda disk cleanup, kuna option ya kufuta old window. Ilinitokea, ikanijazia space kwenye laptop yangu. Kufuta folder kwenye disc sometime inakataa. Haina madhara maana inatokea pale unapoweka window upya then window ya zamani haijifuti ili ukipata tatizo uweze kupata backup.
  Local disk (C:) >Disk cleanup >Cleanup systemfiles.
   
Loading...