Dr. Zaganza JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 1,765 Reaction score 2,683 Dec 19, 2016 #1 Habari wakuu. Kuna Kiwanja nataka kununua Tuangoma kwa sako. Naomba mwenye taarifa za eneo hili kama ni salama kwa maana mipango miji yake haitaleta shida huko mbele. 0713-039875
Habari wakuu. Kuna Kiwanja nataka kununua Tuangoma kwa sako. Naomba mwenye taarifa za eneo hili kama ni salama kwa maana mipango miji yake haitaleta shida huko mbele. 0713-039875