Kazakuku JF-Expert Member Joined Jun 6, 2011 Posts 354 Reaction score 110 Mar 28, 2013 #1 Ndugu wana Jf naomba mnisaidie kiwango cha mshahara wa field officer!
N nash koba Member Joined May 9, 2012 Posts 47 Reaction score 6 Mar 28, 2013 #3 field officer wa wapi?
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 28,848 Reaction score 37,551 Mar 28, 2013 #4 mh!mi nafikiri ungepata kwanza hyo nafasi,maana unaulizia mshahara wakati kupata 2 ni issue
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Mar 28, 2013 #5 laki 3 au 3 na nusu
ntamaholo JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 12,950 Reaction score 6,981 Mar 28, 2013 #6 christine ibrahim said: mh!mi nafikiri ungepata kwanza hyo nafasi,maana unaulizia mshahara wakati kupata 2 ni issue Click to expand... watu wana mbwembwe sana!!!
christine ibrahim said: mh!mi nafikiri ungepata kwanza hyo nafasi,maana unaulizia mshahara wakati kupata 2 ni issue Click to expand... watu wana mbwembwe sana!!!
R Ren g Member Joined Mar 27, 2013 Posts 18 Reaction score 1 Mar 28, 2013 #7 Eti jamani mliobahatika kuitw eti lile tangazo la kazi lilikua linataka utume cv na vyeti? Au cv peke yake? Accessbank
Eti jamani mliobahatika kuitw eti lile tangazo la kazi lilikua linataka utume cv na vyeti? Au cv peke yake? Accessbank
Kazakuku JF-Expert Member Joined Jun 6, 2011 Posts 354 Reaction score 110 Mar 28, 2013 Thread starter #8 Cv only!
Kazakuku JF-Expert Member Joined Jun 6, 2011 Posts 354 Reaction score 110 Mar 28, 2013 Thread starter #9 christine ibrahim said: mh!mi nafikiri ungepata kwanza hyo nafasi,maana unaulizia mshahara wakati kupata 2 ni issue Click to expand... Lengo la kuuliza kutaka jua namna ya kujibu swali la salary!
christine ibrahim said: mh!mi nafikiri ungepata kwanza hyo nafasi,maana unaulizia mshahara wakati kupata 2 ni issue Click to expand... Lengo la kuuliza kutaka jua namna ya kujibu swali la salary!
ITEGAMATWI JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 5,362 Reaction score 4,125 Mar 28, 2013 #10 field officer wa kazi ipi?
tindikalikali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,854 Reaction score 1,139 Mar 29, 2013 #11 Kazakuku said: Lengo la kuuliza kutaka jua namna ya kujibu swali la salary! Click to expand... hiyo salary mwisho wa siku wao ndiyo wanaamua wakuwalipe ngapi, wala jibu lako halina impact ila angalia tu usi underestimate.... Ila hapo AB nilisikia watu wanalipwa laki na themanini!!!
Kazakuku said: Lengo la kuuliza kutaka jua namna ya kujibu swali la salary! Click to expand... hiyo salary mwisho wa siku wao ndiyo wanaamua wakuwalipe ngapi, wala jibu lako halina impact ila angalia tu usi underestimate.... Ila hapo AB nilisikia watu wanalipwa laki na themanini!!!