Msaada: Kitovu cha mtoto kimevimba

Kinatoa chochote? usaha, dam au maji maji?

Kama hakitoi chochote na hospital wamethibitisha ni kiko sawa mfunge mtoto na shilingi mia tano ya sarafu ile ya silver kwa plaster au mjomba wake amweke dole gumba la mguu bila kutumia nguvu afanye kama anakisukumia ndan mara tano
 
case closed.
 
Duuuuh..

#MaendeleoHayanaChama
 
kudadeki
 
Hakitoi chochote mkuu, hiyo plaster haiwezi muumiza ngozi, au nnamfungaje?
 
Hakitoi chochote mkuu, hiyo plaster haiwezi muumiza ngozi, au nnamfungaje?
Kukushauri, nenda hospitali (clinic) waelezee hii concern yako, pale clinic huwa kuna Nurses wamama watu wazima, wanaifahamu hiyo njia ya kufunga shilingi kwa gauze

Usifunge mwenyewe nyumbani unaweza ukamuumiza, unless uwe unajua ama mtu atakayekusaidia kufunga ki nyumbani nyumbani awe ameshawahi kufanya hivo

Kama kikigoma kurudi kwa hiyo njia, basi hiyo itakua ni HERNIA (Umbilical Hernia) , ambayo inatokea pale ambapo ngozi ya ndani usawa wa kitovu inakua weak, so material za ndani ya tumbo (utumbo) (Abdominal organs) zina protrude (zina push kwenye hiyo weak spot na zinatokea kwenye kitovu hapo) ndio maana unakua unaona kitovu kinakua kama kimevimba

Correction yake ni mtoto akifika miezi mitatu, na huwa anafanyiwa upasuaji ili kurudisha huo utumbo kwenye position yake!

Samahani si mzuri sana wa kuandika, kama kuna sehemu utahitaji maelezo utauliza nitajibu
 
Ahsante, kwa hyo kama sio hernia itarudi kawaida kwa kumfunga na coin, ila kama ni hernia hadi upasuaji !! [emoji26]
 
aiseee.
 
Ahsante, kwa hyo kama sio hernia itarudi kawaida kwa kumfunga na coin, ila kama ni hernia hadi upasuaji !! [emoji26]
Ndio huwa vinarudi akifungwa na Coin, sana sana huwa wanachukua shilingi mia tatu (300/=) mia mbili moja na mia moja, then zinafungwa kwenye gauze, kati ya hizo mbili moja huwa inatangulia chini, sasa sina uhakika ipi inaanza chini nyingine juu, then zinakandamizwa kwenye kitovu anakaa nazo kwa muda wa siku saba, akirudi zikatolewa huwa hali inakua resolved

Kama ikigoma kwakweli hakuna njia nyingine zaidi ya Upasuaji, au ukimuacha mtoto ndio anakuja kuwa na kitovu kikubwaa kama ulivyosema ulishawahi kuona kwa baadhi ya watu
 
'Umenikosha'

Elimu hizi zipo jamani, fuatilieni.
 
Mimi pia mwanangu alikua hvyo wakanishauri nimfunge sarafu napo sikuweza maana nliona mwanangu Kama namuumiza,badae nilimpta mtu mzima mmoja akanambia watoto wanaokua na vitovu vikubwa maana take Wana uwezo mkubwa wa kula chakula akanambia nimuache tu mtoto akianza kula kitovu kitapotea na Ni kweli alipofika miezi sita akaanza kula had sahz ana two yrs kimeshapotea kabisaa
 
Hakitoi chochote mkuu, hiyo plaster haiwezi muumiza ngozi, au nnamfungaje?
chukua hiyo sarafu iweke sawa sawa na kitovu sio uegeshe hakikisha kinakua fit then kazia na plasta ili isianguke, haiumizi s anaoga huyo mtoto plasta italegea yenyewe na maji ukiona hii haikosawa fanya ya mjomba wake nimeeleza hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…