Msaada: Kisimbuzi cha Azam TV

Msaada: Kisimbuzi cha Azam TV

kajuka

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2013
Posts
606
Reaction score
233
Wadau nina changamoto kwenye king’amuzi cha azam, bundle likikata nabaki na chanel mbili. Extra azam na Hope chanel.

Mwenye uwelewa na hili swala naomba msaada tafadhari.
 
Wadau nina changamoto kwenye king’amuzi cha azam, bandle likikata nabaki na chanel mbili. Extra azam na Hope chanel

Mwenye uwelewa na hili swala naomba msaada tafadhari.
Wapigie Azamtv
 
Wadau nina changamoto kwenye king’amuzi cha azam, bundle likikata nabaki na chanel mbili. Extra azam na Hope chanel.

Mwenye uwelewa na hili swala naomba msaada tafadhari.
Ndio vizuri ipigwe injili
 
Back
Top Bottom