chazdlamarck JF-Expert Member Joined May 29, 2017 Posts 256 Reaction score 95 Aug 8, 2017 #1 Samahan wakuu leo nimejaribu kumwombea mdogo wangu mkopo kupitia heslb lakn cha ajabu kwenye kipengele cha occupation sioni kaz ya wazaz wake kwan wao ni wakulima na hiyo sion kwenye list, nifanyeje wakuu Aliyejaza akakutana na mambo kama hayo Sent using Jamii Forums mobile app
Samahan wakuu leo nimejaribu kumwombea mdogo wangu mkopo kupitia heslb lakn cha ajabu kwenye kipengele cha occupation sioni kaz ya wazaz wake kwan wao ni wakulima na hiyo sion kwenye list, nifanyeje wakuu Aliyejaza akakutana na mambo kama hayo Sent using Jamii Forums mobile app
uberimae fidei JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 2,789 Reaction score 4,453 Aug 8, 2017 #2 Duh.bado haujapata majibu?nimekutana nacho apa wakati namsaidia ndugu yangu mkuu
fh kwenye beat JF-Expert Member Joined May 29, 2017 Posts 494 Reaction score 612 Aug 8, 2017 #3 Bora ww umefika huko aisee Sent using Jamii Forums mobile app
O Obayo New Member Joined May 8, 2017 Posts 2 Reaction score 0 Aug 8, 2017 #4 Nami nimekutana na tatizo hilo. Wakulima wamewasahau kabisa. nimetafuta farmer ola nikaenda peasant ola... Sent using Jamii Forums mobile app
Nami nimekutana na tatizo hilo. Wakulima wamewasahau kabisa. nimetafuta farmer ola nikaenda peasant ola... Sent using Jamii Forums mobile app
Gormahia JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 515 Reaction score 352 Aug 8, 2017 #5 Bodi ni wapuzi kabisaa Sent using Jamii Forums mobile app
B Baby Tonito Member Joined Jul 26, 2017 Posts 11 Reaction score 2 Aug 9, 2017 #6 Gormahia said: Bodi ni wapuzi kabisaa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... naomba msaada pia nimekwama kipengele cha physical address kinahitaji nini?
Gormahia said: Bodi ni wapuzi kabisaa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... naomba msaada pia nimekwama kipengele cha physical address kinahitaji nini?
uberimae fidei JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 2,789 Reaction score 4,453 Aug 9, 2017 #7 Baby Tonito said: naomba msaada pia nimekwama kipengele cha physical address kinahitaji nini? Click to expand... Makazi ulipo kwa sasa
Baby Tonito said: naomba msaada pia nimekwama kipengele cha physical address kinahitaji nini? Click to expand... Makazi ulipo kwa sasa
blackmweusi JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 241 Reaction score 187 Aug 9, 2017 #8 Baby Tonito said: naomba msaada pia nimekwama kipengele cha physical address kinahitaji nini? Click to expand... kila nikiingiza inanigomea kabisa na mimi ukifanikisha niambie
Baby Tonito said: naomba msaada pia nimekwama kipengele cha physical address kinahitaji nini? Click to expand... kila nikiingiza inanigomea kabisa na mimi ukifanikisha niambie
chiko mkunungu JF-Expert Member Joined Jan 8, 2017 Posts 729 Reaction score 646 Aug 9, 2017 #9 Nendeni loan board pale mwenge mkawaulize simple and clear...