Wakuu mie ninazo hizo simu 3
na zote zina tatizo la display
display zimekuwa nyeupe
But ni simu nayoipenda mno
Kwa unaeuza 60,000/= mkuu punguza basi japo na wengine tupate ahueni
Coz hizi display zinatofautiana sana unawezapata ukaona ni size kabisa ila ukiiweka tu ktk simu then haiwaki ila ukiitoa ukaweka ktk simu nyingine inawaka
Hivyo kuagiza mtu akauletee display
Sishauri ila kama utaweza nenda na simu yako mkononi alafu ipachikwe nawe ukiwepo coz kuna mawili japo display ni mpya ila inaweza kuwaka kwenye simu yako ama kugoma!