Kioo chake kinapatikana na ukiwekewa kinafanya kazi Kama kawaida,Mimi yakwangu niliidondosha ikawa hai function kabisa na nilivyo badilisha ikawa inapiga kazi kawaida.Mimi kioo na fundi nililipa 40,000# but Kuna wengine wanaweza wakakuambia zaidi ya hapo.