Habari zenu wakuu,
Naomba kwa anaeweza kunitengenezea/kunielekeza mahali husika.
Kioo cha ipad kinakua kama kinavujia wino,hii ni baada ya mtoto kuiangusha chini,na sijajua mahali husika pa kutengenezea.
Msaada wenu tafadhali.
Sent from my iPhone using JamiiForums