Kibenje KK
JF-Expert Member
- May 28, 2016
- 284
- 442
Basiri iko sehemu ya haja kubwa sio ukeni,kwenye uke wengi wanapata batholin cyst au virgina cyst,nenda hospital utapata huduma ya kufaa
Basiri iko sehemu ya haja kubwa sio ukeni,kwenye uke wengi wanapata batholin cyst au virgina cyst,nenda hospital utapata huduma ya kufaa
Kwamba ataninyea!!Nimecheka sana ila kuna siku utapata unachotafuta
[emoji23][emoji23][emoji23]Nilichogundua kwenye post hii watu wanajibu Kichwa cha habari. Hawajasoma habari yenyewe.
Wabongo acheni uvivu wa kusoma. Ndio maana tunaferi mambo mengi
Ok shukrani, basi yawezekana genital wartsHemorrhoid si ni bawasiri? If so hiyo hutokea sehemu ya haja kubwa na siyo ukeni..
Ya eneo lenye shida...Picha ya nini ?
NI VIZURI PIA KUANZIA HUKU, KUNA WATAALAMU WATAWEZA KUMUELEKEZA HOSPITALI/DAKTARI MZURI.Mambo serious kama haya inatakiwa yaanzie hospitali kwanza ndugu. Kuleta huku utakutana mijitu mingine ina mambo ya ajabu sana. Mfano ni hao wanaodai uweke picha.
Mimi ni Mngoni wa Liparamba, hii kitu unayosema wewe kule kwetu huitwa "likango" ni tofauti kidogo na hiki kinachozungumzwa na mtoa mada.Kwa uzoefu wangu huku kwa wangoni huwa wanapakwa dawa na kukatwa kitamaduni zao wanasema mwanamke akiwa hivo hupelekea mtoto kuumwa mara kwa mara na hata mda mwingine mimba zake huwa zina toka ukikutan n mgoni halisi mtu mzimaa muulize ila kabla ya yote wahi hospital kwanza upate huduma zaidi ikishindikan kikaota tena ndio utumie njia za asili
Bawasir ukeni?Akhi hiyo ni bawasiri na kuna ndugu zetu wengi wanatibu hiyo kitu
Chukua hii no mpigie uyu jamaa umuelezee tatizo lako
+255 767 221 171
Kunyewa ni kitu kidogo sana utapata kubwa kuliko uhangaike nayoKwamba ataninyea!!
Hebu fafanua Mkuu!Mlete kwangu muache siku mbili kinyama atakila chote nyoka wangu hii ni tiba asili kabisa[emoji41]
KWELI Hii Ndio jf AISEH!!Unataka tiba hutaki mambo ya ufafanuzi kwenye tiba za asili yanakujaje mpeleke hospitali doctor akamuingizie mB** kabla hajamuoperate.
Au mlete kwangu kinyoka changu kile nyama ugonjwa uishe
Ndo mna nikampa no ya huyo dokta awasiliane nae m sina elimu naloBawasir ukeni?
ID yako tu hatare sanaMaisha yenyewe mafupi
Mimi ni Mngoni wa Liparamba, hii kitu unayosema wewe kule kwetu huitwa "likango" ni tofauti kidogo na hiki kinachozungumzwa na mtoa mada.
Labda kama tungeona kwanza kwa picha ili tumwelekeze nini cha kufanya.