Extrovert24
Senior Member
- Jun 23, 2022
- 148
- 218
Hemorrhoid hiyo wapi hospitali akafanyiwe haemorrhodoctomyHabari zenu wana Jamvi, samahanini kidogo niwatake wenye kujua suala hili waweze kunijuza na namna linaweza kutatuliwa.
Jambo lenyewe ni kuhusu Afya ya uzazi wa mwanamke, mimi mke wangu katika sehemu zake za siri (ukeni) kuna kama kinyama kimeota na humsababishia maumivu Makali Wakati wa kushiriki tendo la ndoa na pia huwa ni sababu ya manii kushindwa kuingia ukeni kwa ajili ya kutungisha mimba, bimaana manii yakitaka kuingia huzuiliwa na hicho kinyama hivo kumwagika tena nje.
Naombeni msaada kwa mwenye ujuzi wa hilo, kama naweza fahamu sababu, na pia namna ya kusolve hilo tatizo.
Nawasilisha
Hemorrhoids sehemu za ukeni?Hemorrhoid hiyo wapi hospitali akafanyiwe haemorrhodoctomy
bawasiri hiyo nenda hospital haraka mkuuHabari zenu wana Jamvi, samahanini kidogo niwatake wenye kujua suala hili waweze kunijuza na namna linaweza kutatuliwa.
Jambo lenyewe ni kuhusu Afya ya uzazi wa mwanamke, mimi mke wangu katika sehemu zake za siri (ukeni) kuna kama kinyama kimeota na humsababishia maumivu Makali Wakati wa kushiriki tendo la ndoa na pia huwa ni sababu ya manii kushindwa kuingia ukeni kwa ajili ya kutungisha mimba, bimaana manii yakitaka kuingia huzuiliwa na hicho kinyama hivo kumwagika tena nje.
Naombeni msaada kwa mwenye ujuzi wa hilo, kama naweza fahamu sababu, na pia namna ya kusolve hilo tatizo.
Nawasilisha
Weka pichaHabari zenu wana Jamvi, samahanini kidogo niwatake wenye kujua suala hili waweze kunijuza na namna linaweza kutatuliwa.
Jambo lenyewe ni kuhusu Afya ya uzazi wa mwanamke, mimi mke wangu katika sehemu zake za siri (ukeni) kuna kama kinyama kimeota na humsababishia maumivu Makali Wakati wa kushiriki tendo la ndoa na pia huwa ni sababu ya manii kushindwa kuingia ukeni kwa ajili ya kutungisha mimba, bimaana manii yakitaka kuingia huzuiliwa na hicho kinyama hivo kumwagika tena nje.
Naombeni msaada kwa mwenye ujuzi wa hilo, kama naweza fahamu sababu, na pia namna ya kusolve hilo tatizo.
Nawasilisha
Akhi hiyo ni bawasiri na kuna ndugu zetu wengi wanatibu hiyo kituHabari zenu wana Jamvi, samahanini kidogo niwatake wenye kujua suala hili waweze kunijuza na namna linaweza kutatuliwa.
Jambo lenyewe ni kuhusu Afya ya uzazi wa mwanamke, mimi mke wangu katika sehemu zake za siri (ukeni) kuna kama kinyama kimeota na humsababishia maumivu Makali Wakati wa kushiriki tendo la ndoa na pia huwa ni sababu ya manii kushindwa kuingia ukeni kwa ajili ya kutungisha mimba, bimaana manii yakitaka kuingia huzuiliwa na hicho kinyama hivo kumwagika tena nje.
Naombeni msaada kwa mwenye ujuzi wa hilo, kama naweza fahamu sababu, na pia namna ya kusolve hilo tatizo.
Nawasilisha
Ahaaaa shukran sana akhyAkhi hiyo ni bawasiri na kuna ndugu zetu wengi wanatibu hiyo kitu
Chukua hii no mpigie uyu jamaa umuelezee tatizo lako
+255 767 221 171
SaWa shukran Boss wangubawasiri hiyo nenda hospital haraka mkuu
Sawa nashukuruMpeleke hospital ya kinamama SMV. Iko ilala bungoni. Pale omba kukutana na gyno. .
🤝🤝🤝🤝SaWa shukran Boss wangu