Llio 002
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 1,631
- 2,038
Wakuu habari za saa hizi, mm nna king'amuzi changu cha azam sijakitumia muda mrefu kama miezi mitatu sasa leo nimeamuwa kukitumia lakini kinaniandikia kuwa smart card is expired so wakuu nifanyeje au ndio mpaka nipate hiyo wanayo sema soft ware yao mpya na jee naipataje hiyo soft ware yao
Msaada tafadhari wakuu kwa anayejuwa
Msaada tafadhari wakuu kwa anayejuwa