Msaada king'amuzi changu kina scrach

mslopagaz

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
367
Reaction score
36
Jamani mwenye idea ya hv ving'amuzi vya q sat changu jaman kinansumbua hasa hasa s3 inakwama kwama kila baada ya muda kidogo in short kinanyima raha
 
Jamani mwenye idea ya hv ving'amuzi vya q sat changu jaman kinansumbua hasa hasa s3 inakwama kwama kila baada ya muda kidogo in short kinanyima raha

hiyo ndo surflock kwenye card sharing yakupasa kuwa patient :A S wink:
Vipi Unatumia tv1 CCcam?
Kwa maitaji ya CCcam tembelea http://vpnguruz.sytes.net bei zangu ni nzuri sana
Na tv1 CCcam ni CCcam nzuri haijawai tokea
Fast resume power special Emulator/Oscam no surflock
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…