Rangi ya buti
Member
- Sep 5, 2015
- 57
- 39
Wakuu habari.. Polen na majukumu ya kulijenga taifa letu pendwa!! /
Nimefunga king'amuzi cha startimes cha dish na kinafanya kazi vyema.. Pia nina decoder ya startimes ile ya antena niliyokuwa nakitumia awali. Sasa kutokana na kubadilisha mazingira kwa sasa siwezi kutumia tena kile kingamuzi cha antena kwan hapa nilipo hakishiki. Swali ni je naweza kutumia dish moja la startime kwa ving'amuzi viwilii (kimoja wapo ni kile cha antena) vizuri na kila decoder iwe inajitegemea (nikimaanisha controlling) bila kuwa na uhusiano wa decoder nyingine? Natanguliza shukrani...