Msaada King'amuzi cha azam kinaniletea ivyo shida ni nn
Shifa nyengine nikijaribu kusearch zinakuja channel za startimes sijajua shida ni nn wakati mwanzo zilikuwepo channel za azam
View attachment 2490131Antenna umeielekezea upande wa Srartimes, elekezea upande azam ilipo then search upya