Duuuuu utafute soko bila kuanza kulima utaonekana hauko serious, nadhani mtoa mada yako correctJust being curious..... Unalima kisha unatafuta Soko au unatafuta Soko ukipata ndio Unalima..... Naomba kujuzwa maana napata wasiwasi ikitokea Soko likakosekana na mazao yamekoma itakuwaje hapo.
Mleta Mada nahisi ulikosea kitu sehemu fulani wakati wa maandalixi ya huu mradi wa kilimo Cha mbogamboga.
Haya alime mazao yakomae akose Soko mazao yamuozee. Ingekuwa mahindi hapo PoaDuuuuu utafute soko bila kuanza kulima utaonekana hauko serious, nadhani mtoa mada yako correct
Soko la mboga mboga hutafutwa au huanishwa 3months before decision being made. Vinginevyo ni majangaDuuuuu utafute soko bila kuanza kulima utaonekana hauko serious, nadhani mtoa mada yako correct
Mbegu ni kampuni ya Rijk Zwaan Afrisem, iko usa arusha.Mbegu zinapatkana wap?
Asante. Ntakutafuta.Nalim kupitia greenhouse nalima hoho njano na nyekund nitafut kwa nmba hii 0628016757 nitakuelekez soko lipo usiogop
Ni "Mromboo",Mimi ni mkulima pia nko Arusha kwa mrombo
Soko lipo Chief kama upo Dar nenda soko la mabibo pale pili pili mbuzi utauza hata kama una roba mia.....asikudanganye mtu pili pili mbuzi zikishuka bei roba ni 45000-50000tshs....kuanzia November zinafika mpaka 240,000tshs kwa roba ya debe tano....habari wanajamii forum, natafuta masoko ya pilipili mbuzi na hoho nina mzigo wa kutosha baada ya week 2. mpaka sasa sijajua ntapeleka soko gani ni kilimo changu cha kwanza.
Chief Ringson nicheki 0718589970 mzigo wa pili pili mbuzi wanted...Habari WanaJamiiForums, natafuta masoko ya pilipili mbuzi na hoho nina mzigo wa kutosha baada ya week 2. Mpaka sasa sijajua ntapeleka soko gani ni kilimo changu cha kwanza.
Sawa mkuu.Chief Ringson nicheki 0718589970 mzigo wa pili pili mbuzi wanted...
Nicheki anytime brodaSawa mkuu.
Come to PMHabari WanaJamiiForums, natafuta masoko ya pilipili mbuzi na hoho nina mzigo wa kutosha baada ya week 2. Mpaka sasa sijajua ntapeleka soko gani ni kilimo changu cha kwanza.
OkayCome to PM