Sio soko tu hoho hailimwi kwenye jua kali kuna kitu kinaitwa jua kali na hoho havipatani kabisa hakikisha shm haina mionzi ya jua manake kigambon kule si jua kama Dar , ushauri tuWanaukumbi
Naomba mawazo yenu nipo najiandaa kulima PILIPILI HOHO maeneo ya kigamboni katika OPEN FIELD heka 1 natumia umwagiliaji wa drip
Naomba msaada wa soko la pilipili hoho pamoja na mbegu ambayo inafaa kwa kilimo hiki
Wanaukumbi
Naomba mawazo yenu nipo najiandaa kulima PILIPILI HOHO maeneo ya kigamboni katika OPEN FIELD heka 1 natumia umwagiliaji wa drip
Naomba msaada wa soko la pilipili hoho pamoja na mbegu ambayo inafaa kwa kilimo hiki
Ninaplani ua kupanda miche ya hoho 15000 hadi 20000. Mkuu naomba ushaur wako interms ya mbegu na masoko pia. Ninaandaa eneo lenye ukubwa wa 7000m2. Hili eneo halijawai limwa zaidi ya miaka 30. Nilijaribu kulima kama miche 300 aina ya calfonia wonder na ziliota vizur bila kutumia mbolea za dukani na hta hazikushambuliwa na magonjwa. Yani sikuweka chemical ya aina yoyote. Mavuno yalikuwa mengi sasa imenihamasisha kulima on a large scale.Mkuu hili zao mimi nalima tena sana tu kwnza kwa hiyo bajeti aliyoiweka ni ndogo sana mbegu tu kama unapanda mbegu chotara mf tycoon kwa hk 1 ni sh 250000 kukodisha shamba inategemea kiwango cha chini kbs ni 100000 kulimwa trekta tsh45000 kupiga halo tsh 40000 kulima matuta tsh 80000 mbolea ya kupandia kg100 =140000 vibarua wa kupanda tsh 50000 madawa ukungu+sumu=250000 mbolea kuumwa kg100 =tsh120000 mbolea kuzalishia kg100 =100000 ghalama za umwagiliaji namaanisha petrol tsh120000 palizi tsh100000 boy shamba tsh200000 ziada tsh 200000 soko inategemea na msimu kunakipindi gunia mmoja ni 80000-150000 kwa hk moja ukiitunza vizuri wastani wa maroba 20-30 kwa wiki pilipili hoho inavunwa kwa wastani wa miezi 3-6 inategemea na hali ya hewa
Mkuu iyo hk 1 unakuwa umepanda miche mingapi?Mkuu hili zao mimi nalima tena sana tu kwnza kwa hiyo bajeti aliyoiweka ni ndogo sana mbegu tu kama unapanda mbegu chotara mf tycoon kwa hk 1 ni sh 250000 kukodisha shamba inategemea kiwango cha chini kbs ni 100000 kulimwa trekta tsh45000 kupiga halo tsh 40000 kulima matuta tsh 80000 mbolea ya kupandia kg100 =140000 vibarua wa kupanda tsh 50000 madawa ukungu+sumu=250000 mbolea kuumwa kg100 =tsh120000 mbolea kuzalishia kg100 =100000 ghalama za umwagiliaji namaanisha petrol tsh120000 palizi tsh100000 boy shamba tsh200000 ziada tsh 200000 soko inategemea na msimu kunakipindi gunia mmoja ni 80000-150000 kwa hk moja ukiitunza vizuri wastani wa maroba 20-30 kwa wiki pilipili hoho inavunwa kwa wastani wa miezi 3-6 inategemea na hali ya hewa
About 1acre za hoho bado hazijakomaa natafuta soko kwanza ili nijue nikivuna napeleka wapi mseminari mdogoUnazo kiasi Gani
Umepanda mbegu gani?About 1acre za hoho bado hazijakomaa natafuta soko kwanza ili nijue nikivuna napeleka wapi mseminari mdogo
F1 Indra na sweet PepperUmepanda mbegu gani?
Sweet pepper ni hoho [emoji736]F1 Indra na sweet Pepper
We ndo umeanza kumuuliza sasa anakutajia unaanza kubung'aa kwan we unajua mbegu zipiSweet pepper ni hoho [emoji736]
F1 Indra ni nini [emoji780]
With a clean [emoji813]
Ukifanikiwa kupata soko utanijuza na mieNipo Morogoro contact numbers 0653441636
Kwa hiyo amelima sweet pepper na F1 Indra.We ndo umeanza kumuuliza sasa anakutajia unaanza kubung'aa kwan we unajua mbegu zipi
Kuwa mstaarabu na anzisha thread au uzi wako unaojitegemea. Hapa Ni pilipili hoho tuu.Mm nna pilipili manga please nisaidieni soko
Nisamehe pleaseKwa hiyo amelima sweet pepper na F1 Indra.
Shark uwe unasoma vizuri post.
Try to reread the post please.
Halafu miye siye mtu wa kubung'aa. *Najua niandikacho*