Msaada: Kila ninayempenda sidumu nae

CASTORY 0658440681

New Member
Joined
Feb 26, 2015
Posts
2
Reaction score
0
Jamani mimi ninamkosi gani nitakayempenda anakuwa muongo mlaghai, yaani mpaka nimekata tamaa yakuja kuoa nina miaka 26. Msaada wenzangu eti nifanyaje ili niweze kumpata aliye sahihi maana wananidangaya sana.

Ushauri tafadhali
 
Mkuu hayo mambo sio ya kukurupuka asee.Moja miaka uliyonayo sio mingi sana kiasi cha kukatisha tamaa ya kuoa.Pili Muombe Mungu akuongoze katika kumchagua yule wa haja na moyo wako.Tatu, Acha papara ya kuoa tafuta pesa,kwanza mengine yatafuata.Nne. Jiamini kuwa wewe ni mwanaume, jipe muda wa katafakari maisha yako.

Mwisho. Tupo kwenye mitandao ya kijamii hii usiweke wazi namba yako,utatafutwa na majini kuwa mwangalifu
 
Reactions: THT
Jamaangu asante kwa ushauri mzuri asante mungu akubarksana na ulchoksema kuhusu kujpa mda ntafanya hvyo hata hvyo
 
I
Jamaangu asante kwa ushauri mzuri asante mungu akubarksana na ulchoksema kuhusu kujpa mda ntafanya hvyo hata hvyo

Ondoa hiyo namba hapo kwenye user name.

Kuwa Jasiri usiogope wasichana.. ukiwaona ongea nao vizuri chukua namba, chit chat hapa na pale. Badae unakula mzigo kiulaini sana
 
Kuwa makini na jishushe wkt wa kudate wengine wako kimaslahi zaidi but jiamin na kuwa na msimamo zaid
 
Jiamini jarubu kutakari kila mahusiano ako n wapi unakosea jichunguze mwenyewe uko sawa
 
Jamani mimi ninamkosi gani nitakayempenda anakuwa muongo mlaghai, yaani mpaka nimekata tamaa yakuja kuoa nina miaka 26. Msaada wenzangu eti nifanyaje ili niweze kumpata aliye sahihi maana wananidangaya sana.

Ushauri tafadhali

Inawezekana Ukawa Labda UNANUKA UMASIKINI au Ni MCHAFU KOGE Hivyo Vinakupotezea Credits. au Mwenzetu Labda Ni KIKOJOZI?
 
Jamani
mimi ninamkosi gani nitakayempenda anakuwa muongo mlaghai, yaani mpaka
nimekata tamaa yakuja kuoa nina miaka 26. Msaada
wenzangu
eti nifanyaje ili niweze kumpata aliye sahihi maana
wananidangaya
sana.

Ushauri tafadhali

kwanza kua ndo urudi kuomba ushari mm nazani unakutana na type kama
zangu, under 30 kwangu wote watoto. ni raha mme kumzidi mke umri tho umri
ni no tuuu. ahaaaaa poleee kua kwanza.
 
uwe unabadilisha maneno ya kuwaambia hao akina dada isiwe kila unayemtongoza unamwambia maneno hayo hayo!!
 
Jipende kwanza mwenyewe, afu usiwe unapenda kwa pupa utaishia kuumia ingawa mapenzi ni kujifunza.
 
Ttz lakoo unaombaa ushauri kwa hasira embu relax then uje utuelezee tatizo lako hasa nn kwa upolee ilii tukusaidiee.asante
 
Ukiona hivyo bado hujapewa wakwako wakufanana na wewe tulia na umuombe mungu atakupa huwezi kupaya mke hivyo kilahisi na pia fanya maandalizi kabla hujaanza kumuaproch msichana na utumoe muda mwingi kumjua unapoanza kuwa na ukaribu nae jua anapenda vitu gani na anachukia vitu gani hivyo tu bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…