Pole Dada,Fanya safe sex. Maandalizi ni muhimu.Habari zenu wataalamu wa jf Mimi ni mgeni humu ndani naitwa Lilian nina miaka 25 nimejiunga humu ili niweze pata msaada kutokana na tatizo linalonisumbua sana kwa sasa ambalo ni hili kila ninaposex lazima nichanike ukeni sijawahi furahia kabisa sex na siipendi kwa sababu ya maumivu ninayosikia kila nikishiriki tendo hilo hamu naweza kuwa nayo na maji maji pia ninayo lakini uume ukiingia tu hata Kama ni Mdogo ntasikia maumivu na kuchanika pia nimeshatendwa mara nyingi sana lakini najua hilo ndo chanzo maana sipendi sex kabisa naombeni msaada wenu wa nini nifanye ili tatizo hili liishe maana natamani kupata mume lakini ntampata wapi atakaekubali kutosex mara kwa mara. samahani kwa ujumbe mrefu Ila nimeelezea ili jf doctors muelewe namna ya kunisaidia
Asante ndugu Ila maandalizi huwa yanakuwepo na maji maji yanatoka pia yani siwi mkavu Ila maumivu na kuchanika kunakuwepo tuPole Dada,Fanya safe sex. Maandalizi ni muhimu.
Asante ndugu nitajaribu kwenda hospital Ila naona aibu kumweleza daktari huku ananiangalia ndo mana nikaandika huku ili Kama kuna dawa nitumie mana ngozi ya mwili wangu wote ni laini sana huwa nahisi na huko ni kulaini pia hivyo Kama kuna dawa ya kupafanya pawe pagumu inaweza kunisaidiapole sana mleta uzi.km hata uume mdogo unachanika pamoja nakuwa na maji maji basi kuna haya pengine.moja inawezekana una uchi mdogo sana.tatu hayo maji yawezekana sio mengi na huwa yanawahi kuisha badae panakuwa pakavu.pili nenda kw dr ukachekiwe pengine una maambukizi ktk ngozi laini ndani ya uke imekuwa haina uimara tena
ushauri nenda kw dr kwa matibabu zaidi pia jitahidi kula sana nyanya chungu na ndizi za aina zote inasaidia sana kuongeza maji maji kwenye uke.
Subiri uolewe maumivu yatakwisha utapata mmoja mwenye size itakayokubaliana na jinsi ulivyo then utafurahia maisha.Habari zenu wataalamu wa jf
Mimi ni mgeni humu ndani naitwa Lilian nina miaka 25 nimejiunga humu ili niweze pata msaada kutokana na tatizo linalonisumbua sana kwa sasa ambalo ni hili kila ninaposex lazima nichanike ukeni sijawahi furahia kabisa sex na siipendi kwa sababu ya maumivu ninayosikia kila nikishiriki tendo hilo hamu naweza kuwa nayo na maji maji pia ninayo lakini uume ukiingia tu hata Kama ni Mdogo ntasikia maumivu na kuchanika
Nimeshatendwa mara nyingi sana lakini najua hilo ndo chanzo maana sipendi sex kabisa naombeni msaada wenu wa nini nifanye ili tatizo hili liishe maana natamani kupata mume lakini ntampata wapi atakaekubali kutosex mara kwa mara. Samahani kwa ujumbe mrefu Ila nimeelezea ili JF doctors muelewe namna ya kunisaidia.
Nipo chief Zuma naomba msaadaPole dada,
Nahitaji kukusaidia
Ila kuna maswali mengi ya kukuuliza,
Kama uko online itakuwa vema.
Dr, by proffessional
jitahidi umtafute dr wa jinsia yko mweleze kila kitu atajua tatizo nn.Asante ndugu nitajaribu kwenda hospital Ila naona aibu kumweleza daktari huku ananiangalia ndo mana nikaandika huku ili Kama kuna dawa nitumie mana ngozi ya mwili wangu wote ni laini sana huwa nahisi na huko ni kulaini pia hivyo Kama kuna dawa ya kupafanya pawe pagumu inaweza kunisaidia
Asante hanitonijitahidi umtafute dr wa jinsia yko mweleze kila kitu atajua tatizo nn.
ila km ni nature ya mwili wako kuwa mlaini.basi inaweza kuwa sio tatizo sana.pengine jaribu kubadili namna ya kufanya mpnz kw style tofaut tofaut.pia kuwa mwazi kw mwanaume akuandae sana.na anapoona pakavu achomoe dushe.na asiwe mkamiaji sana wagemu apunguze friction na kuwa makin asiwe kala vitu vya kubust dushe utaumia zaidi
kuhusu kukimbiwavna wanaume lisikuumize kichwa utakuja mpata atakaye kuelewa na kukupenda #RELAX mdada
Inategemea na huyo ninaefanya nae Ila mara nyingi wanatumia robo saa kumalizaUnatumia muda gani kufanya hiyo sex ?
Nusu saa
Au robo saa ?
Asante dumelangInawezekana hii kitu nami nimewai kuwa na mpenzi wa namna hii ila yeye ukimpeleka very slow basi achubuki, kwaio tulikuwa tunasovu kwa kufanya mapenzi bila fujo wala friction, unapush up slow sana mpk tendo linaisha na inakuwa poa. Jaribu iko kitu
Hapana sijawahi kukeketwaUliwahi kukeketwa?
Kama ndiyo, utakuwa na kovu ambalo ndo linachanika mara unapo-do.