Msaada kijana wangu kuhamia kidato cha tatu.

Msaada kijana wangu kuhamia kidato cha tatu.

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
2,905
Reaction score
4,928
Wanabodi.,
Kama Kuna yeyote anafahamu Shule yenye kupokea MWANAFUNZI wa kuhamia kidato cha tatu anisaidie MAWASILIANO ya hiyo Shule ili ahamie immediately.
Asante sana
 
mkoa gan unataka na bei gan ambayo ipo afu na jinsia useme kama mixture au boys na girls
 
Back
Top Bottom