Wakuu TV yangu ni smart TV brand ya vitron 32"
Ila Bluetooth haina, naomba kujua kama kuna kifaa naeza kutumia kupata connection ya Bluetooth kwenye TV kwenda kwenye soundbar/sabufa
Kama sojndbar inaweza kupokea bluetooth, unahitaji Bluetooth transmitter kwenye TV ila inategemea kuna aina gani ya audio out kwenye TV yako kuna transmitter za kupokea audio tofauti kama TV ina sehemu ya heaphones ni rahisi zaidi za optical audio pia zipo.

nilipata changamoto iyo kukonect na Sony HT Rt3 sound bar nilikua na option 2 kununua adroid tv au kununua Tv yenye port ya Arch Hdmi.. nikanunua Hisence smart ina port ya Arc HDMI, niliuza TCL smart ilikua haina iyo port ya Arc hdmi