S Samuel Malenda Member Joined Aug 21, 2023 Posts 8 Reaction score 8 Aug 26, 2023 #1 Ninataka kwenda kusomea umeme wa Magari lakini ninatatizika ni Veta gani iko vizuri kwenye course hiyo kwa hapa Dar Es Salaam au hata nje ya Dar Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Ninataka kwenda kusomea umeme wa Magari lakini ninatatizika ni Veta gani iko vizuri kwenye course hiyo kwa hapa Dar Es Salaam au hata nje ya Dar Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
bongo dili JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 12,343 Reaction score 25,329 Aug 26, 2023 #2 Nenda veta kapate cheti kisha ingia garage za mtaani upate ujuzi. Veta zote wanatoa cheti na Sio ujuzi.
Nenda veta kapate cheti kisha ingia garage za mtaani upate ujuzi. Veta zote wanatoa cheti na Sio ujuzi.
bongo dili JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 12,343 Reaction score 25,329 Aug 26, 2023 #3 Cheti cha veta kitakusaidia kupata ajira,na kukuongezea thamani. Hata uwe fundi mzuri kwa kampuni professional bila cheti wanakuvalue less
Cheti cha veta kitakusaidia kupata ajira,na kukuongezea thamani. Hata uwe fundi mzuri kwa kampuni professional bila cheti wanakuvalue less
itoko jr JF-Expert Member Joined Feb 26, 2023 Posts 1,125 Reaction score 2,542 Aug 26, 2023 #4 DIT vp
bongo dili JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 12,343 Reaction score 25,329 Aug 26, 2023 #5 bongo dili said: Nenda veta kapate cheti kisha ingia garage za mtaani upate ujuzi. Veta zote wanatoa cheti na Sio ujuzi. Click to expand... Au anza na ujuzi garage za mtaani kisha ingia veta upate cheti
bongo dili said: Nenda veta kapate cheti kisha ingia garage za mtaani upate ujuzi. Veta zote wanatoa cheti na Sio ujuzi. Click to expand... Au anza na ujuzi garage za mtaani kisha ingia veta upate cheti
bongo dili JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 12,343 Reaction score 25,329 Aug 26, 2023 #6 itoko jr said: DIT vp Click to expand... DIT ni kubwa kuliko veta
Warrior JF-Expert Member Joined Oct 2, 2015 Posts 741 Reaction score 773 Aug 26, 2023 #7 Hiyo pale keko dsm iko poa tu
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,847 Reaction score 61,886 Aug 26, 2023 #8 naona kama Veta ilikua zamani, sa ivi sijui pipo zimekua nyingi nenda veta ukapate cheti