msaada kichwa chaniuma sana

Sawa,endapo wasumbuliwa na kichwa jitahidi kunywa maji mengi mara uamkapo nyakati ya asubuhi, waweza kunywa nusu lita, baada ya kunywa maji usile au kunywa kinywaji chochote angalau baada ya nusu saa. Mimi si mtaalam, lakini utaratibu huu unanisaidia kunikinga na maumivu ya kichwa na mafua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom