Msaada kichwa chaniuma dawa pls

Yusomwasha

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
2,092
838
Wakuu naombeni msaada kwa anayejua dawa ya kichwa nimeamka kichwa chaniuma sana
 
DAWA YA MARADHI YA KICHWA.jpg

Kula punje 12 za Lozi aka Almond kichwa kitapona.Almond aka Lozi zinapatikana katika maduka ya supermarket au maduka ya kitumbini uliz autapata.
 
Back
Top Bottom