YES UNAWEZA
THOUGH; Oral contracts ni ngumu ku-prove unaweza jenga mazingira ya kuonyesha ame-acknowledge kwamba una mdai then ukatumia kama ushahidi mfano mwandikie DEMAND LETTER, akiijibu unaeza itumia kama ushahidi kwamba Ali- acknowledge kuwa una mdai n vitu kama bank statements zinazoonyesha kuwa ela iliingia kwenye account yake, au ukafanya correspondences kwa njia ya email au letters kuhusu ela yako akiwa anajibu utavitumia pia kama ushahdi mahakamani. Since kwenye madai ushahidi ni on BALANCE OF PROBABILITY ukijenga vizuri kesi yako utashinda mashahidi si kila mara wanasaidia kushinda kesi since ww prime witness upo utatoa ushahidi wako mwenyewe.
NB: IWE TU HAUJAMKOPESHA KWA RIBA