hero de mmar
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 470
- 108
Unatafuta kazi au unatafuta wafanyakazi? Haujaleweka poa
Nataka nitafute kazi za aina hiyo sasa sifahamu vigezo vinavyotakiwa
Mbona umechelewa hivyo......?.......ulitakiwa uanze huu mchakato mwezi wa 4........season itakata soon shauri ya uchaguzi........
ila jaribu...........
Thanx. Vigezo je?
Inategemea......kuna mpishi......room attendant.......waiter (waitress ni nadra labda iwe luxury).......etc......wewe umesoma nini......?.........
Mi nililenga rooms attendant.
Je, ni lazima nisomee au ujuzi/uzoefu naupatia hukohuko???
Lazima uwe trained.......na kila mtu ana standards zake.......hizo unafunzwa..........ila ni vizuri ungebrush na ka kozi ka hotel management.........
Mi elimu yangu form 4, lugha inapanda vizuri. Je, kuna ulazima wa kujibrush au naweza nika apply tu? #@preta
Mkuu......utalii una competition sana.......lakini sikukatishi tamaa.....wewe jaribu kuapply.....kampuni za utalii Arusha zipo nyingi sana.......jaribu kutafuta zile zenye campsites unaweza bahatika.........
Kuanzia anza na hizi.....
1.kibo guides
2. A&K
3.Thomson
4.Zara
5.Leopard tours
6.Ranger safaris
7.Nomad........etc..
Kila la kheri......