Msaada,Kazi ya Tempo in Dar

Msaada,Kazi ya Tempo in Dar

isimbula

Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
15
Reaction score
0
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa dar,ninasomea mambo ya business Administration mwaka wa pili.kutokana na hali ya maisha kupanda inanilazimu kutafuta kazi ya tempo ili niweze kujikimu kimaisha pamoja na shule pia.nina experience ya muda mrefu ya mambo ya sells and marketing kwa yoyote atakaye kuwa interested asisita kunisaidia naomba kuwasilisha kwenu wadau ma contact no 0656740845
 
Back
Top Bottom