blogmaster
Senior Member
- Aug 15, 2015
- 167
- 74
Mtu anaetafuta udhaifu wa system yoyote ya computer ndio hacker, hio system ya computer inaweza kuwa application ya simu, blog kama yako, system kama tcu nk.
Kuna ambao hufanya hacking ili kuimprove security ya hiko kitu, kujisomea na mambo mengine mazuri hawa hujulikana kama white hat hacker.
Wengine hutumia hacking kuiba hizo system, kuzifanya ziwe slow na mambo mengine yasiyofaa hawa huitwa black hat hackers.
Pia ukitumia vibaya hacking unaweza pia kuitwa cracker.
Ili uwe hacker unahitaji kusoma sana kuhusu field unayotaka kuhack hasa security yake
asante sana ndungu je! hapa TZ kuna chuo kinacho fundisha hacking
Mmhhhhh mkuu ain't sure kama kuna chuo chaa huu uchawi..... Bt mm nahisi maybe kama kuna mtu anajua anaweza akawa anakufundisha weww ndani/ akaanzisha darasa lake akawa anafundisha watu ngumbani kwake... Hacking its illegally mkuu navyojua mm..
hao watu balaa sana yaan
Habari wana jf
nimekuwa nikkuta na naneno hacker humo jf ila sikujua ni nini, ila nimechunguza na kujua kuwa hacker ni mtu
swali langu ni:
hacker maana yake ni nini?
hacker kazi yake kubwa ni nini?
mtu kuwa hacke mpaka asomee nini?
tafadhali mwenye kujua kitu anijuze