Mawazo yote yanaheshimiwa,
Msaada unahitajika kwa wahitimu wa diploma. Ni kozi gani zinaweza kuwa na uwanja mpana kwa government, private na hata kujiajiri kati ya hizi?
1: Bachelor of Community Development
2: Bachelor in Human Resources Management
3: Bachelor in Economics
4: Bachelor in Project Planning and Management
5: Bachelor in Social Work.
Natumai mawazo chanya kwa manufaa mapana, Mawazo mengine tofauti na hayo kwenye uchaguzi wa kozi yanapokelewa.