Msaada katika swala la mafunzo ya computer mtandaoni

Patiee

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2018
Posts
474
Reaction score
720
Habari wakuu,

Binafsi siamini katika computer classes zitolewazo mtaani, hivyo basi kuna Mdogo wangu anataka kuanza kujifunza computer mtandaoni, naomba kujua;

Je itawezekana kujifunza yeye binafsi mtandaoni(google&YouTube), kama ni hivyo naomba kufahamu ni website gani ama links zitakazo mpeleka moja kwa moja katika darasa hilo.

Pili, ni maeneo gani nyeti inabidi apitie katika mafunzo ya awali ya computer na itamchukua muda gani ku-master basics za computer kama yuko devoted.

Tatu, resources gani za ziada atahitaji ili kumrahisishia mafunzo yake.

Natanguliza shukrani.
 
Tatu, resources gani za ziada atahitaji ili kumrahisishia mafunzo yake.
- Computer
- Stable internet connection
Je itawezekana kujifunza yeye binafsi mtandaoni(google&YouTube), kama ni hivyo naomba kufahamu ni website gani ama links zitakazo mpeleka moja kwa moja katika darasa hilo.
- https://www.udemy.com/topic/computer-skills/
- Tumia udemy course zao ziko vyema, na gharama ni nafuu.
- Youtube/ google zitumike kukazia maarifa baada ya kujifunza kwa mtiririko toka UDEMY kwa course utakayo anza nayo.

 
Pia kama vyuma vimekaza basi pita torrent kuna cracked Udemy course atazipata buree..nilijifunza Excell on-line kwa udemy za torrent
 
by
Pia kama vyuma vimekaza basi pita torrent kuna cracked Udemy course atazipata buree..nilijifunza Excell on-line kwa udemy za torrent
Shukran
 
My suggestion mpe atafute mwenyewe, wewe mpee tu internet na computer na "devotion" itahandle the rest, commitment Is voluntary
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…