FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,777 Aug 14, 2023 #21 PARTY B said: Naombasaada katika kijaza demographics information katika olams. Nikijaza inakuwa inazunguka tu nikisubmit, je nini changamoto pale maaana watu wa mkopo hawapokei simu Click to expand... Nenda unapotaka kuuomba huo mkopo watakupa waelekezo. Kila mkopo na vigezo vyake na masharti yake.
PARTY B said: Naombasaada katika kijaza demographics information katika olams. Nikijaza inakuwa inazunguka tu nikisubmit, je nini changamoto pale maaana watu wa mkopo hawapokei simu Click to expand... Nenda unapotaka kuuomba huo mkopo watakupa waelekezo. Kila mkopo na vigezo vyake na masharti yake.