mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Duuu kaka lakini mwanaume hujui aliambiwaje anaweza kuambiwa kua ameiokota kwa hio wizi ni wa bint ama mwanaumeHuo ni wizi kama wizi mwingine
Acssory after the factDuuu kaka lakini mwanaume hujui aliambiwaje anaweza kuambiwa kua ameiokota kwa hio wizi ni wa bint ama mwanaume
Bado haijafunguliwa ila mama wa mwanaume na mwanawe wameitwa polisi kwa mahojianoHao hawajafikisha umri wa miaka 18 hivyo upande wao wote wako right.Lakini hapo mwizi ni ke na siyo me.Atalipa simu tu basi hiyo si ni kesi ya wizi au imefunguliwaje mahakamani.
Asante mkuuu tutafutilia hio suluhu inshaaalahHuo ni wizi nashauri mlipe hiyo simu na myamalize nje ya vyombo vya sheria ni mimi Wakili msomi Funzadume
Inawezekana mtu akawa wakili bila kusoma?Huo ni wizi nashauri mlipe hiyo simu na myamalize nje ya vyombo vya sheria ni mimi Wakili msomi Funzadume
Hahaha nashangaaga sanaa mtu kujiita wakili msomi kama wa chama flaaani mjinga mjinga tu....Inawezekana mtu akawa wakili bila kusoma?
Toka lini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huo ni wizi nashauri mlipe hiyo simu na myamalize nje ya vyombo vya sheria ni mimi Wakili msomi Funzadume
ndio hivyo take noteToka lini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
huyo ni mshiriki wa wizi ana kosa.Duuu kaka lakini mwanaume hujui aliambiwaje anaweza kuambiwa kua ameiokota kwa hio wizi ni wa bint ama mwanaume
Habari waungwana.
Niko na mjomba wangu ana umri wa miaka 17 wa kiume kajenga mahusiano na msichana alie na umri sawa na huo maana wako darasa moja.
Jana jioni mtoto wa kike alikamatwa na barua iliotoka kwa mwanume ambaye ndio huyo mjomba wangu ya mahaba nadhani wengi wenu mutakumbuka mapenzi ya shule yalivyo mawasiliano ni barua.
Baaada ya kuonekana na barua wazeee wake wakamgombeza na kumpiga huku wakimuambia kua kuna simu ilipotea inaonekana yeye ndio kaiba binti alikubali kweli na kusema kua amempa huyo mjomba wangu kisha binti katoroka kwao toka jana hadi sasa hajarudi na hivi sasa wazee wameamua kutoa taarifa polisi na ikabidi aitwe dada angu na mwanawe waende kituoni kwa mahojiano.
Mtoto wa kiume alipoulizwa kua jeee kapewa simu na huyo bint anasema nikweli alipewa na ameshaiuza kitambo?
Jeee hapa sheria inakuwaje kwa huyu mwanaume na jeee utetezi wake utakuaje?