bambo nchimbi
Member
- Mar 9, 2017
- 33
- 14
Katika masuala yakuomba kazi Kuna kitu kinaitwa deadline au mwisho wakutuma maombi kwa mfano :deadline ni tarehe 22/8/2018 saa 9:30 alathiri, je ukituma tarehe hiyoo kabla ya Hayo masaa uko sawa????
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app