wazabangah1
JF-Expert Member
- Jul 16, 2014
- 315
- 114
Nimuhitimu Wa shahada ya sayansi uhifadhi wa viumbe (wildlife management) SUA Niko mtaani sasa kwa muda Wa miaka miwili, ila nilikua najishikiza na miradi ya wazungu lakni kwa jinsi muendeleo ulivyo security inazidi kua ndogo na umri nao unasonga
Hivyo basi kunapesa nilikusanya kipind napiga hizo kazi, nikaka chini na kuona ni bora nirudi shule ila kwa kuhama fani kwa vile GPA(2.9) yangu haikua nzur sana, nimeona nikasome POSTGRADUATE DIPLOMA YA education katika sayansi subject, ila nilikua Naomba kujua baadhi ya Vyuo vinavyotoa hio Kozi na Angalau Ada zake Nizakuridhisha Na Hazitaniumiza katika kipind Cha masomo
Nashukuru, Naomba Kuwasilishaa.