Nina simu yangu tecno W3 tatizo lake limeanza siku tatu zilizopita. Tatizo la kwanza ni mtu akinipigia simu inakata na inaonesha line busy,je shida inaweza kuwa ni nini?
Hizo simu za Tecno sina hamu nazo kabisa hasa hizo za Tecno W series nakutana nazo yaani zinazimika ghafula mpaka ufanye reball upya na hiyo kazi ni ngumu balaa sijui kwa wenzangu maana hata flux ya kufanyia nayo kuipata ni ishue kweli.