Johnson json
Member
- Aug 20, 2023
- 37
- 52
Kwani tiyari selections zimetokaNaomba ushauri hivi kati ya Mining Engineer na Mineral Processing Engineer ipi ni nzuri kwa soko la ajira nimepangiwa DIT mining engineer.
Nataka kubadili ndiyo maana nauliza kwanza wakuu.
Naomben ushauri
Hii ni government selectionKwani tiyari selections zimetoka
Nakumbuka mzee mmoja aliwahi nambia usiguse course hizi kama kwenu hakuna mgodi..Naomba ushauri hivi kati ya Mining Engineer na Mineral Processing Engineer ipi ni nzuri kwa soko la ajira nimepangiwa DIT mining engineer.
Nataka kubadili ndiyo maana nauliza kwanza wakuu.
Naomben ushauri
Ila ndo awe na pesaDogo Civil engineering inalipa zaidi badili fasta
Mbeleni unataka kuwa mtu wa mshahara tu au unapanga kuja kujiajiri kidogo?Naomba ushauri hivi kati ya Mining Engineer na Mineral Processing Engineer ipi ni nzuri kwa soko la ajira nimepangiwa DIT mining engineer.
Nataka kubadili ndiyo maana nauliza kwanza wakuu.
Naomben ushauri
Yeahhh!Ila ndo awe na pesa
Sasa kila mtu asome Civil au Mechanical ndugu?Achana na hayo mataka taka kasome civil au mechanical eng
Machenical ni kila kiwanda kinahitaji mmojaSasa kila mtu asome Civil au Mechanical ndugu?
nimecheka Sana ,ila nimemwelewa Sana mshauri huyoNakumbuka mzee mmoja aliwahi nambia usiguse course hizi kama kwenu hakuna mgodi..
Mpaka sasa sijajua alikuwa anamaanisha nini
SawaDogo Civil engineering inalipa zaidi badili fasta
Sawa nmekuelewa🤝Mbeleni unataka kuwa mtu wa mshahara tu au unapanga kuja kujiajiri kidogo?
Kama mtu wa mshahara , ukiotea chaka katika sector hiyo basi umetakataka mkuu, ila usipo otea napo kipengele sana..
Binafsi kila taaluma kwa Tanzania inalipa.. ina kuna mambo mengi sana ya kutazama
mtu asikuambie taaluma flani ndio inalipa sana, anakudanganya.. wapo waliosoma hizo taalamu ambazo wanadai zinalipa na wanalala njaaSawa nmekuelewa🤝
Na kwelmtu asikuambie taaluma flani ndio inalipa sana, anakudanganya.. wapo waliosoma hizo taalamu ambazo wanadai zinalipa na wanalala njaa
kila la kheri mkuuNa kwel