Msaada: Kati ya Mechanical Engineering na Agricultural Engineering nithibitishe kusoma ipi?

fatherhood

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2021
Posts
538
Reaction score
559
Habar JF,

Niende direct kwenye mada husika, nilimfanyia application za vyuo mdogo wangu, amepata NIT MECHANICAL ENGINEERING na SUA AGRICULTURAL ENGINEERING

Kwa uelewa wenu na soko la ajira ipo kozi nzuri?

Natanguliza shukran .
 
Habar jf
Niende direct kwenye mada husika , nilimfanyia application za vyuo mdogo wangu, amepata NIT MECHANICAL ENGINEERING na SUA AGRICULTURAL ENGINEERING , kwa uelewa wenu na soko la ajira ipo kozi nzuri .

Natanguliza shukran .
Sie wapbongo letu kilimo bora achukue agricultural tuu
 
Habar jf
Niende direct kwenye mada husika , nilimfanyia application za vyuo mdogo wangu, amepata NIT MECHANICAL ENGINEERING na SUA AGRICULTURAL ENGINEERING , kwa uelewa wenu na soko la ajira ipo kozi nzuri .

Natanguliza shukran .
Kwan selection za Leo zishatoka tiar?
 
Soma Engineering mama
  • Civil
  • Mechanical
  • Electrical

Hizo Engineering Nyingine ni michongo ya vyuo kupiga pesa.

Unasomaje kozi ambayo hujawahi kuiona Ajira Portal wakitangaza kazi walanhaipo kwenye muundo was Utumishi.
 
Habar jf
Niende direct kwenye mada husika , nilimfanyia application za vyuo mdogo wangu, amepata NIT MECHANICAL ENGINEERING na SUA AGRICULTURAL ENGINEERING , kwa uelewa wenu na soko la ajira ipo kozi nzuri .

Natanguliza shukran .
Agric engineering ni subset ya mechanical engineering. Agric engineering ni tawi la mechanical linalo deal ya uundaji wa dhana za kilimo. Which means hata engineer wa mechanical anauwezo wa kuunda tools za kilimo (if at all kichwani yuko fresh).

Kwa kweli kumshauri ni vigumu ila ajiulize..

1. Je anapenda kujiajiri? Kama ni ndio akasome mechanical

2. Kama ni mtoto wa mkulima asiye na hili wala lile akasome agric maana hata serikalini ajira zake zinatokatoka tofauti na mech (japo azingatie kwamba ajira ni ngumu).

Ila ushauri wangu wa jumla ni kwa kuwa ajira ni ngumu bora akasome mechanical engineering na ajitahidi awe vizuri kwenye design (maana mainjinia wengi bongo hapa ndipo wanakwama) pia aanze kujijengea mentality ya kujiajiri tokea akiwa chuo.

Sijui umeelewa?
 
Habar jf
Niende direct kwenye mada husika , nilimfanyia application za vyuo mdogo wangu, amepata NIT MECHANICAL ENGINEERING na SUA AGRICULTURAL ENGINEERING , kwa uelewa wenu na soko la ajira ipo kozi nzuri .

Natanguliza shukran .
Nenda Agriculture ipo poa
 
Soma Engineering mama
  • Civil
  • Mechanical
  • Electrical

Hizo Engineering Nyingine ni michongo ya vyuo kupiga pesa.

Unasomaje kozi ambayo hujawahi kuiona Ajira Portal wakitangaza kazi walanhaipo kwenye muundo was Utumishi.
Unaishi kwa kukariri
 
Back
Top Bottom