Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 4,941
- 6,192
Sio mmoja wamealikana ukoo wote.Katumwa huyooo kunguru na sifa hizo wapi na wapi
Ushauri mzuri ni kuwa, ulizia wenyeji, tafuta waelewa, wengine Wana Roho za kwanini, huwa wanashughulika vipi na hao kunguru.Sio mmoja wamealikna ukoo wote.
Kwa hio niite press conference.Watu wengine mna habari halafu mnazikalia.. ita vyombo vya habari! Kunguru kula mahindi hiyo ni "breaking news"
Saw a nitajaribu japo kupata hizo tape kazi.Bado zipo mafukami kweli?Tafuta ile mikanda ya video ya zamani chukua ule uzi wa ndani chomeka miti kuzunguka shamba af ufunge upepo ukivuma unatoa mlio so wataogopa ile saitipia katikati ya shamba simamisha miti kwa umbali af tundika manguo nguo watahisi mtu hawatatua
Mkuu ninavitu vizito,siraha za maangamizi nimepewa huko mwishi wa reli, tatizo shamba sio langu na vitu vyenyewe ni vya kudumu, nataka nikasimike shambani kwangu ambapo ni mbali sana na bado sijapaendeleza.Ushauri mzuri ni kuwa, ulizia wenyeji, tafuta waelewa, wengine Wana Roho za kwanini, huwa wanashughulika vipi na hao kunguru.
All in all kumbuka shambani kuna michezo michafu pia, sijawahi sikia kunguru kufukua mahindi yaliyoota, Kware sawa. Rafu za kwenye uchaguzi, mpira wa miguu, huko nako ziko Sana. Pambana kiroho na kimwili pia
Mkuu siwezi fungwa nikiu 100, maana wapo ukoo mzima na koo za majirani.Kabla ya kupanda, chovya baadhi ya Mbegu za mahindi kwenye dawa ya dudu killer, au DDT, au Kimatila alafu zitupe juu ya matuta au popote zinapo onekana ndani ya shamba lako.
Watazila watakufa wote baadae watalikimbia shamba.
Kila ukipanda endelea kutuba baadhi ya hizo mbegu sumu. Hadi waishe wote.