M Mkurabitambo JF-Expert Member Joined Feb 3, 2010 Posts 230 Reaction score 57 Jul 5, 2012 #1 waliaga wanaenda nchi za nje kuchunguza balozi za huko na ufanisi wao...kwa kweli waliondoka kwa mbwembwe hata kufikia kuita press pale airport..vp wamerudi? maana hatupati update zozote na Bunge linaendelea
waliaga wanaenda nchi za nje kuchunguza balozi za huko na ufanisi wao...kwa kweli waliondoka kwa mbwembwe hata kufikia kuita press pale airport..vp wamerudi? maana hatupati update zozote na Bunge linaendelea