PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,447
Pole zake, najua changqmoto ya kuwa mtoto wa kike. Je elimu yake?Habari wakuu! nina rafiki yangu yupo Boston marekani, alikuwa anafanya kazi ya kuendesha magari ya mizigo(trucks) ila kwa sasa ameachishwa kazi..
Hana kazi ya kufanya na mazingira yake ya kuishi ni magumu na mbaya zaidi ni wa kike..
Kwa anayeweza kumsaidia japo apate kazi au msaada wowote tunaweza kuwasiliana.
Ana diploma ya procurement... Aliipatia kenyaPole zake, najua changqmoto ya kuwa mtoto wa kike. Je elimu yake?
Pole yake. Mwambie asikate tamaa. Ila nashangaa. Hana marafiki au hawezi kutafuta kazi za dharura yeye mwenyewe akafanya?Habari wakuu! nina rafiki yangu yupo Boston marekani, alikuwa anafanya kazi ya kuendesha magari ya mizigo(trucks) ila kwa sasa ameachishwa kazi..
Hana kazi ya kufanya na mazingira yake ya kuishi ni magumu na mbaya zaidi ni wa kike..
Kwa anayeweza kumsaidia japo apate kazi au msaada wowote tunaweza kuwasiliana.
Kwa mujibu wa maelezo yake, Alikataa shinikizo la kingono kwa kila mfanyakaziKwanini ameachishwa kazi??
Marafiki anao wachache... Ni story ndefu sana mpaka apo alipofikaPole yake. Mwambie asikate tamaa. Ila nashangaa. Hana marafiki au hawezi kutafuta kazi za dharura yeye mwenyewe akafanya?
Anyway, ni kweli dunia ina mikasa mingi ambayo hata huwezi kuifikiria kama ipo. Naishi ughaibuni hivyo najua hali halisi. Bahati mbaya siko hayo maeneo, ningempa msaada.Marafiki anao wachache... Ni story ndefu sana mpaka apo alipofika
Aise nilimwelewa vibaya hana work permitKama ana work permit avumilie atafute kazi nyingine hata kama haiendanani na taaluma yake hawezi kukosa labda awe mtoto wa mama, kama work permit imeisha arudi nyumbani angalau kuna joto kuliko kupigwa na baridi huko.
Dah!Hizi ni kati ya sababu zilizo nifanya nikayachukia maisha ya ughaibuni.
Ebu mwambie huyo ndugu yako arejee nyumbani Tz tuuze matikiti. Mwambie aachane na sifa za kijinga kwamba anaishi ng'ambo
Arenew work permit au arudi nyumbani tu maisha kokote.Aise nilimwelewa vibaya hana work permit
Pole yake. Mwambie asikate tamaa. Ila nashangaa. Hana marafiki au hawezi kutafuta kazi za dharura yeye mwenyewe akafanya?
Mkuu hiyo inawezekana.. Anaruhusiwa kuishi ad mwez wa 11..Arenew work permit au arudi nyumbani tu maisha kokote.
Dah!
Ni mwaminifu ila tatizo ni mgeni mkuuAnaweza kusaidika.na.connection zake.sio jamii, na kama hana basi asistahili.kusaidiwa atakuwa sio.mwaminifu