MTENDAHAKI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,013
- 1,448
pole sana lakini hili ni jukwaa la malavidavi
Pole sana, inaweza ikawa wrong site injection ikapelekea nerve damage ndiyo maana kapata Paralysis.
This is serious hivyo atafute mtaalamu aliyebobea katika mambo ya nerve amsaidie ingawa nerve damage ni ngumu sana kupona , it leads to permanent disability....
MTENDAHAKI
Kuna nerve ilijeruhiwa, na Kama alichomwa nyuma chini ya kiuno kuna mshipa wa fahamu unaitwa sciatic nerve unaweza kuwa uliguswa.
Nini cha kufanya?? Unahitaji kustua nerve kwa kutumia mashine maalum yaani nerve electrifier pamoja na mazoezi mengine ili nerve ifanye kazi yake sawia.
Wapi uende?? Inategemea na nji uliopo.
Muone PHYSIOTHERAPIST ndo mambo waliobobea
Asante kwa kunikumbusha mkuu, lakini huku tuko wengi sana na penye wengi hapaharibiki nenoPole sana lakini hili ni jukwaa la malavidavi